Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 21:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi Abrahamu akaamka asubuhi na mapema, akachukua mkate na kiriba cha ngozi chenye maji na kumpa Hagari. Akamtwika vitu hivyo begani na kumwambia aende zake pamoja na mwanawe.+ Kwa hiyo Hagari akaondoka na kutangatanga katika nyika ya Beer-sheba.+

  • 2 Samweli 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 kwamba atauhamisha ufalme kutoka katika nyumba ya Sauli na kuimarisha kiti cha ufalme cha Daudi juu ya Israeli na juu ya Yuda, kuanzia Dani mpaka Beer-sheba.”+

  • 2 Wafalme 12:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Katika mwaka wa 7 wa utawala wa Yehu,+ Yehoashi+ akawa mfalme, naye akatawala kwa miaka 40 huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Sibia kutoka Beer-sheba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki