Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 3:2-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Watumishi wote wa mfalme waliokuwa katika lango la mfalme walikuwa wakimwinamia na kumsujudia Hamani, kwa maana mfalme alikuwa ameamuru atendewe hivyo. Lakini Mordekai alikataa kumwinamia au kumsujudia. 3 Basi watumishi wa mfalme waliokuwa katika lango la mfalme wakamuuliza Mordekai: “Kwa nini unapuuza amri ya mfalme?” 4 Ingawa siku baada ya siku walimuuliza hivyo, hakuwasikiliza. Kisha wakamjulisha Hamani ili kuona kama tabia ya Mordekai ingevumiliwa;+ kwa maana Mordekai alikuwa amewaambia kwamba yeye ni Myahudi.+

      5 Sasa Hamani alipoona kwamba Mordekai amekataa kumwinamia na kumsujudia, alikasirika sana.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki