Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mhubiri 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ukiona maskini wakikandamizwa kwa njia yoyote ile na haki na uadilifu zikikiukwa katika wilaya yenu, usishangazwe na jambo hilo.+ Kwa maana ofisa huyo mkuu anatazamwa na yule aliye juu zaidi yake, na kuna wengine walio juu zaidi yao.

  • Isaya 10:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ole wao wanaotunga sheria zinazodhuru,*+

      Ambao sikuzote huandika amri zinazokandamiza,

       2 Ili kuwanyima maskini haki zao za kisheria,

      Ili kuwanyang’anya haki watu wa hali ya chini kati ya watu wangu,+

      Kuwafanya wajane kuwa nyara yao

      Na kuwapora mayatima!+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki