-
Zaburi 5:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kwa maana hakuna lolote wanalosema linaloweza kutumainiwa;
Ndani yao hamna lolote isipokuwa nia ya kudhuru.
-
-
Zaburi 55:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Maneno yake ni laini kuliko mafuta,
Lakini ni panga zilizochomolewa.+
-