-
Yakobo 5:3, 4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Dhahabu na fedha zenu zimeliwa na kutu, na kutu hiyo itakuwa ushahidi dhidi yenu nayo itakula miili yenu. Vitu mlivyoweka akiba vitakuwa kama moto katika siku za mwisho.+ 4 Tazama! Mishahara ambayo hamjawalipa wafanyakazi waliovuna mashamba yenu, inaendelea kupaza kilio, na vilio vya kuomba msaada vya wavunaji vimefika masikioni mwa Yehova* wa majeshi.+
-