Methali 11:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Yeyote anayemwekea dhamana ya mkopo* mtu asiyemjua hakika ataumia,+Lakini yeyote anayeepuka* kumpa mkono ili kumdhamini atakuwa salama. Methali 22:26, 27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Usiwe miongoni mwa wale wanaopeana mikono wanapotoa dhamana,Wanaoweka dhamana kwa ajili ya mikopo.+ 27 Ikiwa huna kitu cha kulipa,Kitanda chako kitavutwa na kuchukuliwa ukiwa umekilalia!
15 Yeyote anayemwekea dhamana ya mkopo* mtu asiyemjua hakika ataumia,+Lakini yeyote anayeepuka* kumpa mkono ili kumdhamini atakuwa salama.
26 Usiwe miongoni mwa wale wanaopeana mikono wanapotoa dhamana,Wanaoweka dhamana kwa ajili ya mikopo.+ 27 Ikiwa huna kitu cha kulipa,Kitanda chako kitavutwa na kuchukuliwa ukiwa umekilalia!