1 Wafalme 21:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Ndipo watu wawili miongoni mwa watu wasiofaa kitu wakaja na kuketi mbele yake, nao wakaanza kutoa ushahidi dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema: “Nabothi amemtukana Mungu na mfalme!”+ Kisha wakamtoa nje ya jiji, wakamuua kwa kumpiga mawe.+ Methali 17:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Yeyote anayetangaza kwamba mwovu hana hatia na yeyote anayemshutumu mwadilifu+—Wote wawili wanamchukiza Yehova.
13 Ndipo watu wawili miongoni mwa watu wasiofaa kitu wakaja na kuketi mbele yake, nao wakaanza kutoa ushahidi dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema: “Nabothi amemtukana Mungu na mfalme!”+ Kisha wakamtoa nje ya jiji, wakamuua kwa kumpiga mawe.+
15 Yeyote anayetangaza kwamba mwovu hana hatia na yeyote anayemshutumu mwadilifu+—Wote wawili wanamchukiza Yehova.