16 Ukachukua baadhi ya mavazi yako na kutengeneza mahali pa juu penye rangi mbalimbali ambapo ulifanyia ukahaba+—mambo hayo hayapaswi kufanywa, wala hayapaswi kutendeka kamwe.
17 Basi wana wa Babiloni wakaendelea kuja kwenye kitanda chake cha mapenzi, nao wakamchafua kwa uchu wao.* Baada ya kuchafuliwa nao, akawaacha akiwa amechukizwa.