-
Waamuzi 6:36, 37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kisha Gideoni akamwambia hivi Mungu wa kweli: “Ikiwa utawaokoa Waisraeli kwa mkono wangu, kama ulivyoahidi,+ 37 ninaweka manyoya ya kondoo kwenye uwanja wa kupuria. Ikiwa kutakuwa na umande juu ya manyoya hayo peke yake lakini ardhi yote inayozunguka manyoya hayo iwe kavu, ndipo nitakapojua kwamba utawaokoa Waisraeli kwa mkono wangu, kama ulivyoahidi.”
-