-
Isaya 35:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Hakuna simba atakayekuwa huko,
Na hakuna wanyama hatari wa mwituni watakaokuja kwenye njia hiyo.
-
-
Isaya 60:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Nawe utaziita kuta zako Wokovu+ na malango yako Sifa.
-