Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 46:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Mataifa yalikuwa katika msukosuko, falme zilipinduliwa;

      Alipaza sauti yake, dunia ikayeyuka.+

  • Isaya 10:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Je, shoka litajikweza juu ya yule anayelitumia kukata?

      Je, msumeno utajikweza juu ya yule anayeutumia kukata?

      Je, gongo+ linaweza kumtikisa yule anayeliinua?

      Au je, fimbo inaweza kumwinua yule ambaye hajatengenezwa kwa mbao?

  • Isaya 37:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Umemdhihaki+ na kumkufuru nani?

      Umepaza sauti yako dhidi ya nani+

      Na kuinua macho yako yenye kiburi?

      Ni dhidi ya Mtakatifu wa Israeli!+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki