-
2 Mambo ya Nyakati 34:20, 21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kisha mfalme akamwagiza hivi Hilkia, Ahikamu+ mwana wa Shafani, Abdoni mwana wa Mika, mwandishi Shafani, na Asaya mtumishi wa mfalme: 21 “Nendeni mkatafute ushauri wa Yehova kwa niaba yangu na kwa niaba ya watu ambao wamebaki Israeli na Yuda kuhusu maneno ya kitabu hiki ambacho kimepatikana; kwa maana ghadhabu ya Yehova itakayomwagwa dhidi yetu ni kali kwa sababu mababu zetu hawakutekeleza neno la Yehova kwa kuyashika mambo yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki.”+
-