Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 21:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Ole wako, Moabu! Mtaangamizwa, enyi watu wa Kemoshi!+

      Huwafanya wanawe kuwa wakimbizi na binti zake kuwa mateka wa Sihoni, mfalme wa Waamori.

  • 1 Wafalme 11:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Wakati huo ndipo Sulemani alipojenga mahali pa juu+ kwa ajili ya Kemoshi, mungu mwenye kuchukiza wa Moabu, kwenye mlima uliokuwa mbele ya Yerusalemu, na kwa ajili ya Moleki,+ mungu mwenye kuchukiza wa Waamoni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki