Isaya 3:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Yehova atawahukumu wazee na wakuu wa watu wake. “Mmeliteketeza kabisa shamba la mizabibu,Na vitu mlivyowaibia maskini vimo ndani ya nyumba zenu.+ Mika 2:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Wanatamani mashamba na kuyanyakua;+Pia nyumba, na kuzichukua;Wanamlaghai mtu na kuchukua nyumba yake,+Wanachukua urithi wa mtu.
14 Yehova atawahukumu wazee na wakuu wa watu wake. “Mmeliteketeza kabisa shamba la mizabibu,Na vitu mlivyowaibia maskini vimo ndani ya nyumba zenu.+
2 Wanatamani mashamba na kuyanyakua;+Pia nyumba, na kuzichukua;Wanamlaghai mtu na kuchukua nyumba yake,+Wanachukua urithi wa mtu.