Mambo ya Walawi 26:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 Watajikwaa na kuangukiana kama watu wanaokimbia upanga, hata ingawa hakuna anayewakimbiza. Hamtaweza kuwashinda maadui wenu.+ Ezekieli 11:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 ‘Nitawatoa ninyi ndani yake na kuwatia mikononi mwa watu wa nchi ya kigeni na kutekeleza hukumu dhidi yenu.+
37 Watajikwaa na kuangukiana kama watu wanaokimbia upanga, hata ingawa hakuna anayewakimbiza. Hamtaweza kuwashinda maadui wenu.+
9 ‘Nitawatoa ninyi ndani yake na kuwatia mikononi mwa watu wa nchi ya kigeni na kutekeleza hukumu dhidi yenu.+