Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:36, 37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Kila siku utamtoa ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi ili kufunika dhambi zao, nawe utaitakasa madhabahu kwa kutoa dhabihu ya kufunika dhambi ya madhabahu hiyo, nawe utaitia mafuta ili kuitakasa.+ 37 Utatumia siku saba kufunika dhambi ya madhabahu, nawe lazima uitakase ili iwe madhabahu takatifu kabisa.+ Mtu yeyote anayeigusa madhabahu hiyo anapaswa kuwa mtakatifu.

  • Mambo ya Walawi 8:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Musa akamchinja, akachukua damu yake+ kwa kidole chake na kuzipaka pembe zote za madhabahu, akaitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini damu iliyobaki aliimwaga kwenye msingi wa madhabahu, ili aitakase na kutoa juu yake dhabihu ya kufunika dhambi.

  • Waebrania 9:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kwa mifano ya uhalisi+ wa vitu vilivyo mbinguni kusafishwa kwa njia hiyo,+ lakini vitu vya mbinguni vinahitaji dhabihu zilizo bora zaidi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki