Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:48-51
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Yehova atawatuma maadui wenu wawashambulie, nanyi mtawatumikia+ mkiwa na njaa+ na kiu na uchi na mkiwa maskini kabisa.* Ataweka nira ya chuma kwenye shingo zenu mpaka atakapokuwa amewaangamiza.

      49 “Yehova ataleta dhidi yenu taifa la mbali,+ kutoka mwisho wa dunia; litawarukia kama tai,+ taifa ambalo hamtaelewa lugha yake,+ 50 taifa lenye uso mkali ambalo haliwajali wazee wala kuwahurumia vijana.+ 51 Watu hao watawala watoto wa mifugo yenu na mazao ya ardhi yenu mpaka mtakapokuwa mmeangamizwa. Hawatawaachia nafaka yoyote, divai mpya wala mafuta, ng’ombe mchanga wala mwanakondoo mpaka watakapokuwa wamewaangamiza.+

  • Ezekieli 21:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Nitakumwagia ghadhabu yangu. Nitakupulizia moto wa hasira yangu, nami nitakutia mikononi mwa watu wakatili, mafundi wa maangamizi.+

  • Habakuki 1:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Kwa maana tazama, ninawainua Wakaldayo,+

      Taifa katili na linalotenda haraka-haraka,

      Wanasambaa upesi katika maeneo makubwa sana ya dunia

      Ili wachukue kwa nguvu makao ambayo si yao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki