Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 basi, mimi nitawatendea mambo haya: nitawaadhibu kwa taabu, kwa kifua kikuu na homa kali, na kufanya macho yenu yadhoofike na uhai wenu uzorote.* Mtapanda mbegu zenu bure, kwa maana maadui wenu watazila.+ 17 Nitawakataa,* nanyi mtashindwa na maadui wenu;+ na wale wanaowachukia ninyi watawakanyaga-kanyaga,+ nanyi mtakimbia bila kukimbizwa na mtu.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+

  • Maombolezo 1:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 1 Lo! Jiji lililokuwa limejaa watu+ sasa limebaki ukiwa!

      Limekuwa kama mjane, jiji lililokuwa na watu wengi miongoni mwa mataifa!+

      Jiji lililokuwa binti ya mfalme kati ya mikoa* limefanywa kuwa mtumwa!+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki