Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 5:11-17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Sasa kulikuwa na nguruwe wengi+ wakila hapo mlimani.+ 12 Basi hao roho waovu wakamsihi: “Turuhusu tuingie ndani ya wale nguruwe.” 13 Naye akawaruhusu. Ndipo wale roho waovu wakatoka na kuingia ndani ya wale nguruwe, kisha lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko* na kuzama baharini. Walikuwa karibu 2,000, nao wakafa maji baharini. 14 Lakini wachungaji wa nguruwe hao wakakimbia wakapeleka habari jijini na mashambani, watu wakaja kuona kilichotukia.+ 15 Basi wakamjia Yesu, wakamwona yule mtu aliyekuwa na roho waovu, ambaye mwanzoni alikuwa na kile kikosi, akiwa ameketi, amevaa nguo, na akiwa na akili timamu, nao wakaogopa. 16 Pia, wale walioona tukio hilo wakawasimulia mambo yaliyompata mtu huyo aliyekuwa na roho waovu na kuhusu wale nguruwe. 17 Basi wakaanza kumsihi Yesu aondoke katika eneo lao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki