Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 2:18-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Wanafunzi wa Yohana na Mafarisayo walikuwa na zoea la kufunga. Basi wakaja na kumuuliza Yesu: “Kwa nini wanafunzi wa Yohana na wanafunzi wa Mafarisayo hufunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”+ 19 Yesu akawajibu: “Rafiki za bwana harusi+ hawahitaji kufunga wanapokuwa naye, sivyo? Bwana harusi akiwa pamoja nao hawawezi kufunga. 20 Lakini siku zitakuja ambapo bwana harusi ataondolewa kwao,+ ndipo watakapofunga siku hiyo.

  • Luka 5:33-35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Wakamwambia: “Wanafunzi wa Yohana hufunga mara nyingi na kutoa dua, na pia wanafunzi wa Mafarisayo, lakini wanafunzi wako hula na kunywa.”+ 34 Yesu akawaambia: “Hamwezi kuwafanya rafiki za bwana harusi wafunge bwana harusi akiwa pamoja nao, sivyo? 35 Lakini siku zitakuja ambapo kwa kweli bwana harusi+ ataondolewa kwao; ndipo watakapofunga siku hizo.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki