14 Yesu alipoingia nyumbani kwa Petro, alimwona mama mkwe wa Petro+ akiwa amelala akiugua homa.+15 Basi Yesu akamgusa mkono,+ naye akapona homa, akasimama na kuanza kumhudumia.
38 Alipotoka katika sinagogi akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mkwe wa Simoni alikuwa na homa kali, wakamwomba Yesu amponye.+39 Yesu akasimama kando yake, akaikemea ile homa, ikaisha. Papo hapo akasimama na kuanza kuwahudumia.