Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 21:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Wakamleta huyo punda na mwanapunda wake, kisha wakatandika juu yao mavazi yao ya nje, naye akayakalia.+ 8 Wengi katika umati wakatandaza mavazi yao ya nje barabarani,+ na wengine wakakata matawi ya miti na kuyatandaza barabarani.

  • Yohana 12:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Yesu alipompata mwanapunda, akaketi juu yake,+ kama ilivyoandikwa: 15 “Usiogope binti ya Sayuni. Tazama! Mfalme wako anakuja, akiwa ameketi juu ya mwanapunda.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki