Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 kisha wakasokota taji la miiba na kumvisha kichwani na kutia utete kwenye mkono wake wa kuume. Wakampigia magoti, wakamdhihaki wakisema: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!”

  • Mathayo 27:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Pia, wakabandika juu ya kichwa chake mashtaka dhidi yake, yalikuwa yameandikwa: “Huyu ni Yesu Mfalme wa Wayahudi.”+

  • Luka 23:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Kulikuwa pia na maandishi haya juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”+

  • Yohana 19:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Pilato akaandika pia tangazo na kuliweka juu ya huo mti wa mateso.* Liliandikwa: “Yesu Mnazareti Mfalme wa Wayahudi.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki