Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 12:46, 47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Alipokuwa bado akizungumza na umati, mama yake na ndugu zake+ walikuwa wamesimama nje, wakitaka kuongea naye.+ 47 Basi mtu fulani akamwambia: “Tazama! Mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuongea nawe.”

  • Marko 3:31, 32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Mama yake na ndugu zake+ wakaja na kusimama nje, wakamtuma mtu akamwite.+ 32 Kwa kuwa umati ulikuwa umeketi kumzunguka, wakamwambia: “Tazama! Mama yako na ndugu zako wako nje wanakuita.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki