Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 3:31-35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Mama yake na ndugu zake+ wakaja na kusimama nje, wakamtuma mtu akamwite.+ 32 Kwa kuwa umati ulikuwa umeketi kumzunguka, wakamwambia: “Tazama! Mama yako na ndugu zako wako nje wanakuita.”+ 33 Lakini akawauliza: “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” 34 Akawatazama watu walioketi kumzunguka, akasema: “Tazama, mama yangu na ndugu zangu!+ 35 Yeyote anayefanya mapenzi ya Mungu, huyo ndiye ndugu yangu, dada yangu, na mama yangu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki