Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 12:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 na tazama! kulikuwa na mtu aliyepooza mkono!+ Basi, ili wapate sababu ya kumshtaki wakamuuliza, “Je, ni halali kumponya mtu siku ya Sabato?”+

  • Marko 3:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi walikuwa wakimwangalia sana waone kama atamponya mtu huyo siku ya Sabato, ili wamshtaki.

  • Yohana 5:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Yule mtu akaenda na kuwaambia Wayahudi kwamba Yesu ndiye aliyemponya. 16 Kwa hiyo Wayahudi walikuwa wakimtesa Yesu, kwa sababu alikuwa akifanya mambo hayo siku ya Sabato.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki