Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 24:32, 33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 “Basi jifunzeni mfano huu kutokana na mtini: Mara tu matawi yake machanga yanapokuwa laini na kuchipua majani, mnajua kwamba kiangazi kinakaribia.+ 33 Vivyo hivyo, ninyi pia mtakapoona mambo yote hayo, jueni kwamba yuko karibu milangoni.+

  • Marko 13:28, 29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 “Basi jifunzeni mfano huu kutokana na mtini: Mara tu matawi yake machanga yanapokuwa laini na kuchipua majani, mnajua kwamba kiangazi kinakaribia.+ 29 Vivyo hivyo, ninyi pia mtakapoona mambo hayo yakitukia, jueni kwamba yuko karibu, yuko mlangoni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki