19 Akauagiza umati uketi kwenye nyasi. Kisha akachukua ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama mbinguni, akatoa baraka+ na baada ya kuimega mikate, akawapa wanafunzi, nao wanafunzi wakaugawia umati.
34 Yesu akatazama mbinguni, akavuta pumzi kwa nguvu na kumwambia: “Efatha,” yaani, “Funguka.” 35 Ndipo masikio yake yakafunguliwa,+ na tatizo lake la kuzungumza likaisha, naye akaanza kuzungumza vizuri.