Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 9:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Yesu akasema: “Ondokeni hapa, kwa maana msichana huyu mdogo hajafa bali amelala usingizi.”+ Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. 25 Mara tu umati ulipoondolewa, Yesu akaingia na kumshika mkono,+ kisha yule msichana mdogo akainuka.+

  • Luka 7:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Akakaribia na kuligusa jeneza,* nao wale waliolibeba wakasimama. Akasema: “Kijana, ninakuambia, inuka!”+ 15 Yule mfu akaketi akaanza kuongea, naye Yesu akamkabidhi kwa mama yake.+

  • Yohana 11:43, 44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Baada ya kusema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro, njoo huku nje!”+ 44 Mtu huyo aliyekuwa amekufa akatoka, miguu na mikono yake ikiwa imefungwa kwa vitambaa, na uso wake ukiwa umefungwa kwa kitambaa. Yesu akawaambia: “Mfungueni, mmwache aende.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki