Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 18:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mimi mwenyewe nimewachukua ndugu zenu, Walawi, kutoka miongoni mwa Waisraeli na kuwakabidhi ninyi kama zawadi.+ Wamekabidhiwa kwa Yehova ili watumikie katika hema la mkutano.+ 7 Wewe na wanao mna wajibu wa kufanya kazi za ukuhani zinazohusu madhabahu na vitu vilivyo nyuma ya pazia,+ nanyi mtatimiza utumishi huo.+ Nimewapa utumishi wa ukuhani kama zawadi, na mtu yeyote asiye na idhini* atakayekaribia mahali patakatifu anapaswa kuuawa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki