Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 19:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “‘Mtu aliye safi atayakusanya majivu ya ng’ombe huyo+ na kuyapeleka mahali safi nje ya kambi, yatahifadhiwa na Waisraeli ili yatumiwe kutengenezea maji ya kutakasa.+ Ni dhabihu ya dhambi.

  • Hesabu 19:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kwa ajili ya mtu huyo asiye safi, watachukua majivu ya dhabihu ya dhambi iliyoteketezwa na kuyamiminia maji ya kijito katika chombo.

  • Hesabu 19:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Siku ya tatu na siku ya saba, mtu aliye safi atamnyunyizia maji hayo mtu asiye safi na kumtakasa dhambi yake siku ya saba;+ kisha atafua mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye atakuwa safi jioni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki