Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 53:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Alidharauliwa na kuepukwa na wanadamu,+

      Mtu aliyekusudiwa kupata* maumivu na aliyezoea magonjwa.

      Ilikuwa kana kwamba uso wake ulifichwa kutoka kwetu.*

      Alidharauliwa, nasi tulimwona kuwa asiye na maana.+

  • Yohana 19:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Hata hivyo, wakasema kwa sauti kubwa: “Mwondoe! Mwondoe! Atundikwe mtini!”* Pilato akawaambia: “Je, mnataka nimuue mfalme wenu?” Wakuu wa makuhani wakajibu: “Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki