KUMBUKUMBU LA TORATI
YALIYOMO
1
Kuondoka Mlima Horebu (1-8)
Wakuu na waamuzi wawekwa (9-18)
Watu wakosa kutii kule Kadesh-barnea (19-46)
2
3
Wamshinda Mfalme Ogu wa Bashani (1-7)
Kugawanywa kwa nchi upande wa mashariki wa Yordani (8-20)
Yoshua aambiwa asiogope (21, 22)
Musa hataingia katika nchi hiyo (23-29)
4
Waagizwa watii (1-14)
Yehova anataka aabudiwe yeye peke yake (15-31)
Hakuna Mungu mwingine ila Yehova (32-40)
Majiji ya makimbilio upande wa mashariki wa Yordani (41-43)
Wapewa Sheria (44-49)
5
Agano la Yehova kule Horebu (1-5)
Amri Kumi zarudiwa (6-22)
Watu waogopa kwenye Mlima Sinai (23-33)
6
Mpende Yehova kwa moyo wako wote (1-9)
“Sikilizeni, enyi Waisraeli” (4)
Wazazi wanapaswa kuwafundisha watoto (6, 7)
Msimsahau Yehova (10-15)
Msimjaribu Yehova (16-19)
Kiambieni kizazi kinachofuata (20-25)
7
Mataifa saba yataangamizwa (1-6)
Sababu ya Waisraeli kuchaguliwa (7-11)
Utii utawaletea mafanikio wakati ujao (12-26)
8
9
10
11
Mmeuona ukuu wa Yehova (1-7)
Nchi Iliyoahidiwa (8-12)
Thawabu za kutii (13-17)
Maneno ya Mungu yakaziwe katika mioyo (18-25)
“Baraka na laana” (26-32)
12
Abuduni mahali ambapo Mungu amechagua (1-14)
Waruhusiwa kula nyama lakini si damu (15-28)
Msinaswe na miungu mingine (29-32)
13
14
Njia zisizofaa za kuomboleza (1, 2)
Vyakula safi na visivyo safi (3-21)
Sehemu ya kumi kwa ajili ya Yehova (22-29)
15
Madeni yafutwa kila mwaka wa saba (1-6)
Kuwasaidia maskini (7-11)
Kuwaachilia huru watumwa kila mwaka wa saba (12-18)
Wazaliwa wa kwanza wa wanyama watakaswa (19-23)
16
Pasaka; Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (1-8)
Sherehe ya Majuma (9-12)
Sherehe ya Vibanda (13-17)
Kuwaweka waamuzi (18-20)
Vitu vya ibada vilivyokatazwa (21, 22)
17
Dhabihu zisiwe na kasoro (1)
Kushughulikia uasi imani (2-7)
Kuamua kesi ngumu (8-13)
Maagizo kwa ajili ya mfalme atakayetawala (14-20)
18
Fungu la makuhani na Walawi (1-8)
Mazoea ya kuwasiliana na roho waovu yakatazwa (9-14)
Nabii kama Musa (15-19)
Jinsi ya kuwatambua manabii wa uwongo (20-22)
19
Hatia ya damu na majiji ya makimbilio (1-13)
Alama za mipaka zisisogezwe (14)
Mashahidi mahakamani (15-21)
20
21
Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana (1-9)
Kuoa wanawake mateka (10-14)
Haki ya mzaliwa wa kwanza (15-17)
Mwana mkaidi (18-21)
Mtu aliyetundikwa mtini amelaaniwa (22, 23)
22
Kuheshimu wanyama wa jirani (1-4)
Kuvaa nguo za watu wa jinsia tofauti (5)
Kuwatendea wanyama kwa fadhili (6, 7)
Ukuta unaozunguka ukingo wa paa (8)
Michanganyiko isiyofaa (9-11)
Vishada vya nguo (12)
Sheria kuhusu kukiuka maadili ya ngono (13-30)
23
Wasioruhusiwa katika kutaniko la Mungu (1-8)
Usafi wa kambi (9-14)
Watumwa waliokimbia (15, 16)
Ukahaba wakatazwa (17, 18)
Riba na nadhiri (19-23)
Vitu ambavyo wapita njia wanaruhusiwa kula (24, 25)
24
25
Sheria kuhusu kumpiga mtu viboko (1-3)
Usimfunge kinywa ng’ombe dume anapopura (4)
Ndoa ya ndugu mkwe (5-10)
Kumkamata mtu sehemu zisizofaa anapopigana (11, 12)
Mizani na vipimo sahihi (13-16)
Waamaleki wataangamizwa (17-19)
26
Kutoa mavuno ya kwanza (1-11)
Sehemu ya kumi iliyotolewa mara ya pili (12-15)
Waisraeli ni mali ya pekee ya Yehova (16-19)
27
28
Baraka za kutii (1-14)
Laana za kutotii (15-68)
29
30
31
Musa akaribia kufa (1-8)
Sheria yasomwa hadharani (9-13)
Yoshua awekwa kuwa kiongozi (14, 15)
Uasi wa Waisraeli watabiriwa (16-30)
32
33
34