1
Waisraeli waongezeka Misri (1-7)
Farao awakandamiza Waisraeli (8-14)
Wakunga waliomwogopa Mungu hawakuwaua watoto (15-22)
2
Musa azaliwa (1-4)
Binti ya Farao amchukua Musa kuwa mwanawe (5-10)
Musa akimbilia Midiani na kumwoa Sipora (11-22)
Mungu asikia kilio cha uchungu cha Waisraeli (23-25)
3
Musa na kichaka cha miiba kilichowaka moto (1-12)
Yehova aeleza maana ya jina Lake (13-15)
Yehova ampa Musa maagizo (16-22)
4
Ishara tatu ambazo Musa angefanya (1-9)
Musa ahisi hastahili (10-17)
Musa arudi Misri (18-26)
Musa akutana tena na Haruni (27-31)
5
Musa na Haruni wakiwa mbele ya Farao (1-5)
Ukandamizaji wazidi (6-18)
Waisraeli wamlaumu Musa na Haruni (19-23)
6
Ahadi ya kuwekwa huru yarudiwa (1-13)
Ukoo wa Musa na Haruni (14-27)
Musa kufika tena mbele ya Farao (28-30)
7
Yehova amwimarisha Musa (1-7)
Fimbo ya Haruni yawa nyoka mkubwa (8-13)
Pigo la 1: maji yageuzwa kuwa damu (14-25)
8
9
Pigo la 5: kufa kwa mifugo (1-7)
Pigo la 6: wanadamu na wanyama wapatwa na majipu (8-12)
Pigo la 7: mvua ya mawe (13-35)
10
Pigo la 8: nzige (1-20)
Pigo la 9: giza (21-29)
11
12
Kuanzishwa kwa Pasaka (1-28)
Pigo la 10: wazaliwa wa kwanza wauawa (29-32)
Safari ya Kutoka Misri yaanza (33-42)
Maagizo ya kushiriki Pasaka (43-51)
13
Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wa Yehova (1, 2)
Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (3-10)
Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atolewa kwa Mungu (11-16)
Waisraeli waelekezwa kwenye Bahari Nyekundu (17-20)
Nguzo ya wingu na moto (21, 22)
14
Waisraeli wafika baharini (1-4)
Farao awafuatia Waisraeli (5-14)
Waisraeli wavuka Bahari Nyekundu (15-25)
Wamisri wazama baharini (26-28)
Waisraeli wawa na imani katika Yehova (29-31)
15
Musa na Waisraeli waimba wimbo wa ushindi (1-19)
Miriamu aimba akiwaitikia wanaume (20, 21)
Maji machungu yageuzwa kuwa matamu (22-27)
16
Waisraeli wanung’unika kuhusu chakula (1-3)
Yehova asikia manung’uniko yao (4-12)
Wapewa mana na kware (13-21)
Hakuna mana siku ya Sabato (22-30)
Mana yahifadhiwa kuwa ukumbusho (31-36)
17
Walalamika kuhusu ukosefu wa maji huko Horebu (1-4)
Maji yatoka mwambani (5-7)
Waamaleki wawashambulia na kuwashinda (8-16)
18
19
20
21
22
23
Waisraeli wapewa sheria (1-19)
Waisraeli waongozwa na malaika (20-26)
Kuimiliki nchi na mipaka ya nchi (27-33)
24
25
26
27
28
Mavazi ya kuhani (1-5)
Efodi (6-14)
Kifuko cha kifuani (15-30)
Joho lisilo na mikono (31-35)
Kilemba chenye bamba la dhahabu (36-39)
Mavazi mengine ya kuhani (40-43)
29
30
Madhabahu ya uvumba (1-10)
Kuhesabiwa kwa watu na pesa za dhabihu ya kufunika dhambi (11-16)
Beseni la shaba la kunawia mikono na miguu (17-21)
Mchanganyiko wa pekee wa mafuta yanayotumiwa kutia mafuta (22-33)
Utaratibu wa kutengeneza uvumba mtakatifu (34-38)
31
Mafundi wajazwa roho ya Mungu (1-11)
Sabato, ishara kati ya Mungu na Waisraeli (12-17)
Mabamba mawili ya mawe (18)
32
33
Mungu awakaripia Waisraeli (1-6)
Hema la mkutano nje ya kambi (7-11)
Musa aomba kuona utukufu wa Yehova (12-23)
34
Mabamba mapya ya mawe yatengenezwa (1-4)
Musa aona utukufu wa Yehova (5-9)
Maagizo kuhusu agano yarudiwa (10-28) (10-28)
Uso wa Musa watoa miale (29-35)
35
Maagizo kuhusu Sabato (1-3)
Michango ya hema la ibada (4-29)
Bezaleli na Oholiabu wajazwa roho (30-35)
36
37
38
39
Kutengeneza mavazi ya kuhani (1)
Efodi (2-7)
Kifuko cha kifuani (8-21)
Joho lisilo na mikono (22-26)
Mavazi mengine ya kuhani (27-29)
Bamba la dhahabu (30, 31)
Musa akagua hema la ibada (32-43)
40