1
Daudi na Abishagi (1-4)
Adoniya atafuta kiti cha ufalme (5-10)
Nathani na Bath-sheba wachukua hatua (11-27)
Daudi aagiza Sulemani atiwe mafuta (28-40)
Adoniya akimbilia kwenye madhabahu (41-53)
2
Daudi ampa maagizo Sulemani (1-9)
Daudi afa; Sulemani aketi kwenye kiti cha ufalme (10-12)
Njama ya Adoniya yasababisha auawe (13-25)
Abiathari afukuzwa; Yoabu auawa (26-35)
Shimei auawa (36-46)
3
Sulemani amwoa binti ya Farao (1-3)
Yehova amtokea Sulemani katika ndoto (4-15)
Sulemani aamua kesi ya mama wawili (16-28)
4
Wasimamizi katika utawala wa Sulemani (1-19)
Ufanisi katika utawala wa Sulemani (20-28)
Hekima na methali za Sulemani (29-34)
5
6
7
Majengo yaliyozunguka jumba la Mfalme Sulemani (1-12)
Hiramu mwenye ustadi amsaidia Sulemani (13-47)
Nguzo mbili za shaba (15-22)
Bahari ya madini yaliyoyeyushwa (23-26)
Magari kumi na mabeseni ya shaba (27-39)
Vyombo vya dhahabu vyakamilishwa (48-51)
8
Sanduku la agano laletwa hekaluni (1-13)
Sulemani awahutubia watu (14-21)
Sala ya Sulemani ya kuweka wakfu hekalu (22-53)
Sulemani awabariki watu (54-61)
Dhabihu na sherehe ya wakfu (62-66)
9
Yehova amtokea tena Sulemani (1-9)
Zawadi ya Sulemani kwa Mfalme Hiramu (10-14)
Miradi mbalimbali ya Sulemani (15-28)
10
11
Wake za Sulemani waugeuza moyo wake (1-13)
Wapinzani wa Sulemani (14-25)
Yeroboamu aahidiwa makabila kumi (26-40)
Sulemani afa; Rehoboamu awekwa kuwa mfalme (41-43)
12
Rehoboamu awajibu watu kwa ukali (1-15)
Makabila kumi yaasi (16-19)
Yeroboamu awekwa kuwa mfalme wa Israeli (20)
Rehoboamu aambiwa asipigane na Waisraeli (21-24)
Yeroboamu aanzisha ibada ya ndama (25-33)
13
14
15
Abiyamu, mfalme wa Yuda (1-8)
Asa, mfalme wa Yuda (9-24)
Nadabu, mfalme wa Israeli (25-32)
Baasha, mfalme wa Israeli (33, 34)
16
Hukumu ya Yehova dhidi ya Baasha (1-7)
Ela, mfalme wa Israeli (8-14)
Zimri, mfalme wa Israeli (15-20)
Omri, mfalme wa Israeli (21-28)
Ahabu, mfalme wa Israeli (29-33)
Hieli ajenga upya Yeriko (34)
17
Nabii Eliya atabiri ukame (1)
Eliya alishwa na kunguru (2-7)
Eliya amtembelea mjane kule Sarefathi (8-16)
Mwana wa mjane afa na kufufuliwa (17-24)
18
Eliya akutana na Obadia na Ahabu (1-18)
Eliya apambana na manabii wa Baali kule Karmeli (19-40)
Ukame wa miaka mitatu na nusu waisha (41-46)
19
Eliya akimbia ghadhabu ya Yezebeli (1-8)
Yehova amtokea Eliya kule Horebu (9-14)
Eliya aambiwa amtie mafuta Hazaeli, Yehu, Elisha (15-18)
Elisha awekwa rasmi kuchukua nafasi ya Eliya (19-21)
20
Wasiria wapigana vita dhidi ya Ahabu (1-12)
Ahabu awashinda Wasiria (13-34)
Unabii dhidi ya Ahabu (35-43)
21
Ahabu atamani shamba la mizabibu la Nabothi (1-4)
Yezebeli apanga njama ya kumuua Nabothi (5-16)
Ujumbe wa Eliya dhidi ya Ahabu (17-26)
Ahabu ajinyenyekeza (27-29)
22
Yehoshafati aungana na Ahabu (1-12)
Mikaya atabiri kwamba watashindwa (13-28)
Ahabu auawa huko Ramothi-gileadi (29-40)
Yehoshafati atawala Yuda (41-50)
Ahazia mfalme wa Israeli (51-53)