Ukurasa wa Pili
Washindi Wajapokabiliwa na Kifo 3-12
Utukuzo wa taifa na chuki ya kisiasa, kikabila, na kidini vimetokeza vita, mizozo, na mnyanyaso. Kumekuwa na mamilioni ya majeruhi na maelfu ya wafia-imani. Kuna tofauti gani? Ushindi u wapi
Kifo Katika Mabawa Mepesi 13
Malaria ingali inaua karibu watu milioni 2 kila mwaka na kuambukiza milioni 270. Ni nini kilichopata ile programu ya kuimaliza?
Dini na Sayansi—Mchanganyiko Mbovu 18
Theolojia, alkemia, na sayansi zilichanganywa wakati wa karne zilizopita. Matokeo yalikuwa nini?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
H. Armstrong Roberts
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Musei Capitolini, Roma