Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g93 6/8 uku. 12
  • Fumbo la Kujaza Maneno

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fumbo la Kujaza Maneno
  • Amkeni!—1993
  • Vichwa vidogo
  • Madokezo kulia
  • Madokezo chini
Amkeni!—1993
g93 6/8 uku. 12

Fumbo la Kujaza Maneno

Madokezo kulia

1. Mwana wa Benyamini (Mwanzo 46:21)

3. Idadi ya watu ambao Yesu alisema wangeipata njia nyembamba inayoongoza kwenye uzima (Mathayo 7:14)

7. Haiwekwi chini ya kitanda (Marko 4:21)

9. Mtajo wayo wa pekee katika Biblia unapatikana katika ndoto ya Yakobo (Mwanzo 28:12)

11. Upungufu wa kiroho au wa kiadili (Wafilipi 2:15)

15. Werevu (Marko 14:1)

17. Kile Yuda alikuja kuwa (Luka 6:16)

18. Katazo la kutia kitu hiki mwilini liliwakazia Waisraeli uhitaji wa kutotia chale katika mwili wa binadamu—uumbaji wa Mungu (Mambo ya Walawi 19:28)

21. Nchi ya Koreshi (Danieli 6:28)

22. Kile ambacho Mungu atawaletea watumishi wake wanaoteswa (2 Wathesalonike 1:7)

23. Katika kundi la Kikristo, Yesu tu ndiye ana cheo hiki (Mathayo 23:10)

24. Kuhani wa ukoo wa Adaya, aliyetumikia katika hekalu wakati wa Nehemia (Nehemia 11:12)

Madokezo chini

1. Ezra alijulikana kuwa stadi wa kazi hiyo (Ezra 7:6)

2. Kamata (Marko 9:18)

4. Mwana wake Amasa alikuwa mmoja wa wakuu wanne wa Efraimu waliosikia sihi ya nabii Odedi ya kuwarudisha waliotekwa nyara kutoka Yuda (2 Mambo ya Nyakati 28:12)

5. Mwangalizi wa wale waliolima shamba la Daudi (1 Mambo ya Nyakati 27:26)

6. Mwana wake alikuwa mfalme wa Babuloni wakati Hezekia alipokuwa mfalme wa Yuda (Isaya 39:1)

8. Kikundi cha askari (2 Mambo ya nyakati 25:13)

10. Masalio (Danieli 2:35)

12. Kitu kinachotolewa kuwa dhamana (Amosi 2:8)

13. Wakristo wanaijua kuwa “si kitu katika ulimwengu” (1 Wakorintho 8:4)

14. Maneno ya mwisho ya Yezebeli yalikumbusha juu ya matokeo mabaya yaliyompata mfalme huyu (2 Wafalme 9:31)

16. Mji wenye bandari kule Likia ambako yaelekea Paulo aliingia kwenye meli iliyoelekea Foinike (Matendo 21:1)

19. Kitu pekee ambacho Yesu aliwaruhusu wale 12 wabebe alipowatuma wawili-wawili (Marko 6:7, 8)

20. Kuteketeza (Amosi 7:4)

Ufumbuzi wa Fumbo katika ukurasa wa 21

M U P I M U W A C H A C H E

W A B A Z

A G T A A D J R

N G A Z 1 L M L E I

D A L A W A M A S

I R D K I H S

S Z E A A H I L A

H I H N P P N

I M S A L I T I A L A M A

R N T M

I I F A U

K I R

U A J E M I M M A L I P O

L B

A K I O N G O Z I A M Z I

1 2 3 4 5

6

7 8

9 10

11

12 13

14 15

16

17 18

19

20

21 22

23 24

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki