Ukurasa wa Pili
Sikukuu Sababu Inayofanya Watoto Fulani Wasizisherehekee 3-14
Furaha kubwa kwa watoto shuleni! Lakini watoto fulani hukataa kusherehekea. Kwa nini? Je! wao wananyimwa? Wao wanasema nini juu ya hilo?
Ngiri Mwenye Ucheshi 18
Ni nini hufanya kiumbe hiki cha misitu ya Afrika kuwa chenye ucheshi sana? Je! kuna upande wenye uzito kwa mcheshi huyo asiye wa kawaida?
Mashahidi wa Yehova na Wastadi wa Tiba Washirikiana 24
Halmashauri za Uhusiano na Hospitali husaidia madaktari kupata njia nyinginezo za tiba badala ya kutia damu mishipani.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Harper’s Weekly, Jan. 1, 1881