Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g94 2/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1994
  • Vichwa vidogo
  • Kushinda Tatizo la Kutojua Kusoma na Kuandika3-9
  • Majiji Makubwa ya Biashara 10
  • Wenyeji wa Australia—Watu wa Kipekee 16
Amkeni!—1994
g94 2/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Kushinda Tatizo la Kutojua Kusoma na Kuandika3-9

Zaidi ya robo ya idadi ya watu wazima ulimwenguni hawawezi kusoma wala kuandika. Ni kwa nini watu wengi hivyo hawajui kusoma na kuandika, na ni jambo gani liwezalo kufanywa ili kurekebisha tatizo hilo la ulimwenguni pote?

Majiji Makubwa ya Biashara 10

Hayo yatia ndani London, Zurich, Hong Kong, na Jiji la New York. Mambo yatendekayo katika majiji hayo huathiri ulimwengu wote.

Wenyeji wa Australia—Watu wa Kipekee 16

Walitoka wapi? Waliishije? Wana matazamio gani sasa kwa ajili ya wakati ujao?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki