Ukurasa wa Pili
Je, Maisha Yako Ni Makimwa? Waweza Kuyabadili! 3-7
Katika muhula wa utendaji wa kurudia-rudia kazi ileile tu, wengi hutafuta kupunguza ukimwa wao kwa kinywaji, dawa za kulevya, ngono, au uhalifu. Ukimwa waweza kushindwaje?
Kutafuta Okidi Katika Ulaya 8
Bila shaka, okidi ziko katika Tropiki. Lakini eti katika Ulaya? Spishi zipatazo 250 ziko huko!
Wali au Mchele—Wapenda Upi Zaidi? 24
Utumizi wa mchele wa ulimwengu wa Magharibi ni tofauti kabisa na jinsi utayarishwavyo katika India. Tupa jicho upate maoni ya kuvutia sana juu ya utamaduni mwingine.