Ukurasa wa Pili
Je, Kweli Chakula Chako Ni Chenye Lishe? 3-7
Mamilioni ulimwenguni kote hufurahia mara haba mno mlo wenye lishe kweli. Lishe mbaya yaweza kuua. Je, kuna masuluhisho yoyote?
Je, Mungu Apendezwa Kutuona Tukiteseka?10
Kwa moyo mnyoofu watu wengi huamini kwamba Mungu huleta mateso ili kutujaribu. Je, hilo lafaa? Je, ni la Kibiblia?
Kupatwa kwa Jua na Ule Uvutio wa Astronomia 12
Kupatwa hutukiaje? Astronomia hutokezaje katika Biblia?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha kwa hisani ya NASA/Finley-Holiday Film Corporation