Ukurasa wa Pili
Je, Sikuzote Mataifa Tajiri Yatatumia Vibaya Mataifa Maskini? 3-11
Meli, malori, na magari-moshi zikiwa zimejaa takataka zenye sumu zapitana-pitana sayarini zikitafuta mahali pa kuzitupa. Hizo hupata mahali katika nchi ambazo tayari zatafunwa na umaskini, njaa kuu, na maradhi. Lakini tokeo la mwisho litakuwa nini kwa sayari yetu, Dunia?
Je, Kuwa Rafiki ya Mungu Kutanisaidia? 12
Vijana wengi wamepata urafiki na Mungu kuwa msaada mkubwa katika nyakati zenye maumivu sana.
Mahali Ambapo Tai Huenda Kula Samaki 15
Kawaida ya asili huendeleza mtiririko wa mto na samaki wapatikana katika sehemu hii ndogo tu.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Idara ya Utalii ya Alaska
JALADA: Mwanamke akifanya kazi: UNITED NATIONS/UNIDO