Ukurasa wa Pili
Ubuni wa Sayansi—Je, Ni Mchungulio wa Wakati Ujao Wetu? 3-10
Ubuni wa sayansi umekuwa maarufu vitabuni na filamuni. Maono yao kuhusu wakati ujao ni sahihi kadiri gani? Je, ni ubuni wote wa sayansi ulio kitumbuizo kinachofaa?
Je, Mashindano Katika Michezo Ni Kosa? 14
Ni ufahamu gani wa kina ambao Biblia hutoa kuhusu swali hili?
Majumba Yenye Kumetameta ya Baharini 16
Vipande hivi vikubwa, na tandavu vya barafu vilikuja kuwaje? Ni nini huvipata?