Jumamosi
“Iweni na subira kwa watu wote”—1 Wathesalonike 5:14
Asubuhi
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 58 na Sala
3:40 MFULULIZO: “Tunajipendekeza Kuwa Wahudumu wa Mungu . . . kwa Subira”
• Tunapohubiri (Matendo 26:29; 2 Wakorintho 6:4, 6)
• Tunapowafundisha Wanafunzi wa Biblia (Yohana 16:12)
• Tunapotiana Moyo (1 Wathesalonike 5:11)
• Tunapotumikia Tukiwa Wazee (2 Timotheo 4:2)
4:30 Ninyi Ambao Mmeonyeshwa Subira, Onyesheni Subira! (Mathayo 7:1, 2; 18:23-35)
4:50 Wimbo Na. 138 na Matangazo
5:00 MFULULIZO: ‘Kwa Subira Vumilianeni kwa Upendo’
• Watu wa Ukoo Wasio Waamini (Wakolosai 4:6)
• Mwenzi Wako wa Ndoa (Methali 19:11)
• Watoto Wako (2 Timotheo 3:14)
• Watu wa Familia Wenye Matatizo ya Afya au Wazeewazee (Waebrania 13:16)
5:45 UBATIZO: Subira ya Yehova Ni Wokovu Wetu! (2 Petro 3:13-15)
6:15 Wimbo Na. 75 na Mapumziko
Alasiri
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 106
7:50 Kwa Nini Ujihadhari na Mwelekeo wa Kutosheleza Tamaa Papo Hapo? (1 Wathesalonike 4:3-5; 1 Yohana 2:17)
8:15 MFULULIZO: “Ni Bora Kuwa na Subira Kuliko Kuwa na Roho ya Kiburi”
• Mwige Abeli, Si Adamu (Mhubiri 7:8)
• Mwige Yakobo, Si Esau (Waebrania 12:16)
• Mwige Musa, Si Kora (Hesabu 16:9, 10)
• Mwige Samweli, Si Sauli (1 Samweli 15:22)
• Mwige Yonathani, Si Absalomu (1 Samweli 23:16-18)
9:15 Wimbo Na. 87 na Matangazo
9:25 DRAMA: “Mkabidhi Yehova Njia Yako”—Sehemu ya 1 (Zaburi 37:5)
9:55 “Tunapoteswa, Tunavumilia kwa Subira” (1 Wakorintho 4:12; Waroma 12:14, 21)
10:30 Wimbo Na. 79 na Sala ya Mwisho