Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm23 kur. 3-8
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2023
  • Habari Zinazolingana
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2023
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2023
CO-pgm23 kur. 3-8
Picha: Mambo makuu ya programu ya Ijumaa. 1. Mfalme Sauli akiingia kwenye pango ambalo Daudi na wanaume wake wamejificha. 2. Wenzi wa ndoa wakihubiri. 3. Pengwini Anayeitwa Emperor akiwa na watoto wake.

Penguins: By courtesy of John R. Peiniger

Ijumaa

“Upendo ni wenye subira”​—1 Wakorintho 13:4

Asubuhi

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 66 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Kwa Nini ‘Tuwe na Subira’? (Yakobo 5:7, 8; Wakolosai 1:9-11; 3:12)

  • 4:10 MFULULIZO: “Kuna Wakati Uliowekwa wa Kila Jambo”

    • • Tafakari Maoni ya Yehova Kuhusu Wakati (Mhubiri 3:1-8, 11)

    • • Kusitawisha Urafiki Kunahitaji Muda (Methali 17:17)

    • • Kukua Kiroho Kunahitaji Muda (Marko 4:26-29)

    • • Kufikia Miradi ya Kiroho Kunahitaji Muda (Mhubiri 11:4, 6)

  • 5:05 Wimbo Na. 143 na Matangazo

  • 5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: Daudi Alimngojea Yehova (1 Samweli 24:2-15; 25:1-35; 26:2-12; Zaburi 37:1-7)

  • 5:45 Thamini Utajiri wa Subira ya Mungu (Waroma 2:4, 6, 7; 2 Petro 3:8, 9; Ufunuo 11:18)

  • 6:15 Wimbo Na. 147 na Mapumziko

Alasiri

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 17

  • 7:50 Iga Subira ya Yesu (Waebrania 12:2, 3)

  • 8:10 MFULULIZO: Waige Wale Wanaorithi Ahadi Kupitia Subira

    • • Abrahamu na Sara (Waebrania 6:12)

    • • Yosefu (Mwanzo 39:7-9)

    • • Ayubu (Yakobo 5:11)

    • • Mordekai na Esta (Esta 4:11-16)

    • • Zekaria na Elisabeti (Luka 1:6, 7)

    • • Paulo (Matendo 14:21, 22)

  • 9:10 Wimbo Na. 11 na Matangazo

  • 9:20 MFULULIZO: Kile Ambacho Uumbaji Unatufundisha Kuhusu Jinsi Yehova Anavyofanya Mambo kwa Wakati

    • • Mimea (Mathayo 24:32, 33)

    • • Viumbe wa Baharini (2 Wakorintho 6:2)

    • • Ndege (Yeremia 8:7)

    • • Wadudu (Methali 6:6-8; 1 Wakorintho 9:26)

    • • Wanyama (Mhubiri 4:6; Wafilipi 1:9, 10)

  • 10:20 “Hamjui Ile Siku Wala Saa” (Mathayo 24:36; 25:13, 46)

  • 10:55 Wimbo Na. 27 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki