KANSA
(Kuna kichwa kidogo: Kansa za Aina Mbalimbali)
kansa za watoto: g 5/11 12-14
kinga:
kama vitamini zinazuia kansa: g 5/06 30; g05 7/8 28
kansa ya mlango wa tumbo la uzazi inayosababishwa na virusi vya papillomavirus: g05 6/22 23
manufaa ya chai ya kijani-kibichi: g99 7/8 29
manufaa ya matunda na mboga: g97 5/8 28
manufaa ya nyanya (tunda): g99 12/22 28
kuitambua:
umuhimu wa kuitambua mapema: g99 8/22 29
upimaji aina ya Pap smear: g05 6/22 22-23
kutiwa damu mishipani:
uwezekano wa kupona kansa unapungua: g03 12/8 13
kuwasaidia wagonjwa wenye kansa: g 8/11 28
mabaka (madoa meusi ngozini): g03 12/8 28-29
makala ya Amkeni! kuhusu kijana aliyekuwa na kansa yathaminiwa: g99 8/22 24-25
mambo yaliyoonwa:
binti afa kwa kansa aina ya neuroblastoma: w08 3/15 19-20
dada avumilia kihisia: w02 2/15 21
kansa ya matiti yaponywa: w96 3/1 23, 26-27
kansa yaponywa: w96 2/1 31
kijana mwenye uhusiano mzuri pamoja na Yehova: g99 7/8 30; g99 8/22 24-25; g98 10/22 31
kumtunza mume mwenye kansa ya ubongo: w12 5/15 15-16
mtu mwenye kansa amfariji mtu mwingine anayeugua kansa: w07 3/15 6
mvulana aliyekufa kwa sababu ya kansa ya mifupa: g 8/06 26-27
mwanamke mpweke mwenye kansa: yb07 64
mzee wa kutaniko mwenye uvimbe wa ubongo: w05 11/1 19
Shahidi mwenye kansa ya ubongo: yb09 55
upasuaji wa kukata mguu: g96 6/22 26-27
upasuaji wa kuondoa zoloto, kisha ugonjwa wa kupooza: g01 1/22 11-14
watoto wenye kansa: g 5/11 12-14
watoto wenye kansa watembelea Betheli: w07 4/15 32
watu ambao wenzi wao katika ndoa walikuwa na kansa: g 4/06 8-9
matibabu:
mafanikio: g 12/12 28
upimaji wa kansa si sahihi nyakati zote: g99 4/8 28
visababishi: g 10/12 29; g01 5/22 28
chakula chenye mafuta mengi: g97 6/22 10
huenda ikasababishwa na simu za mkononi: g05 2/8 20
kutafuna mchanganyiko wa tambuu, tumbaku, na popoo: g96 10/8 31
maambukizo ya virusi papillomavirus: g05 6/22 21-23
sumu inayoitwa aflatoxin inayotokana na kuvu: g 1/06 14-15
tambuu: g 2/12 22-23
uchafuzi: g97 12/22 28
ugoro (na bidhaa nyingine za tumbaku): g96 4/22 26-27
uhusiano kati ya kansa na kunywa kupita kiasi: g05 10/8 8
uwezekano wa kuhusianishwa na nguvu za sumaku—umeme za mawimbi ya redio: g 5/12 29
uzito unaopita kiasi: g03 11/22 29; g02 3/8 29
wanaokufa kwa kansa: g99 4/8 28; g96 3/22 24
Kansa za Aina Mbalimbali
kansa ya mapafu:
wanawake wenye kansa ya mapafu: g01 6/8 29
kansa ya matiti: g 8/11 24-28
kadiri ambavyo kansa ya matiti imeenea: g 8/11 24; g 3/06 29
kuigundua: g 8/11 24-25; g98 2/22 28
matibabu: g 8/11 25-27
visababishi: g 8/11 26-27
kansa ya mdomo:
inaweza kusababishwa na ugoro na bidhaa nyingine za tumbaku: g96 4/22 26-27
kutafuna mchanganyiko wa tambuu, tumbaku, na popoo, kunaweza kusababisha kansa ya mdomo: g99 10/22 29; g96 10/8 31
tambuu kisababishi: g 2/12 22-23
kansa ya mlango wa tumbo la uzazi:
inayosababishwa na virusi vya papillomavirus: g05 6/22 21-23
kansa ya ngozi: g 3/06 30; g05 6/8 4-6
aina ya carcinoma: g05 6/8 5
aina ya melanoma: g 4/07 29; g05 6/8 5-6
inayosababishwa na kuota jua: g 6/09 11; g04 1/22 29; g01 11/8 28; g00 6/22 28-29; g98 2/8 31
inayosababishwa na taa zinazotumiwa kubadili rangi ya ngozi: g 6/11 29; g 8/10 30; g05 6/8 7; g02 10/22 29
jambo la kufanya: g05 6/8 9-10
kinga: g05 6/8 4, 6-8
matibabu: g05 6/8 6
kansa ya tezi-kibofu: g02 4/8 28-29