ULIMWENGU (Sayari na Nyota)
(Ona pia Anga [Sayari na Nyota]; Jua, Mfumo wa; Makundi ya Nyota [Galaksi]; Nyota; Nyota, Elimu ya; Uumbaji)
(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)
Aristoto: w11 7/1 24-28; w05 4/1 4-5; ba 19-20
Biblia inapatana na sayansi: w11 7/1 24-28
idadi ya nyota: cl 49-51; ct 15, 182
jinsi ambavyo umepangwa: g 8/09 18; cl 175; ct 10-11
maelezo: g 8/09 16-18; g03 6/8 16; g00 10/8 3-4; g96 1/22 3-14
makala za Amkeni! zathaminiwa: g96 9/8 30
mambo ambayo yamegunduliwa: g96 7/8 28
maoni ya Waebrania wa kale: g97 7/8 27
mashimo meusi: g98 7/22 14-16; g96 1/22 8
mata nyeusi: g 8/09 18; g96 1/22 14; g96 7/8 28
mnururisho unaotokana na matukio ya zamani sana angani: g99 6/22 4-5
muda ambao umekuwapo: rs 394; g96 1/22 3-5
mwanzo: w08 5/1 6
dhana ya mlipuko mkubwa: g 8/09 17; rs 36-37; g96 1/22 3-6, 11
dhana zinazotiliwa shaka kwa sababu ya uvumbuzi mpya: g96 1/22 5-6, 9-10
kitu kidogo sana: ct 12-13, 16; g96 1/22 3, 6
mata (vitu): rs 394
uliumbwa: g 2/12 17; bm 4; g 9/06 19; g99 6/22 6-9; ct 85, 88-91
uthibitisho wa kwamba ulikuwa na mwanzo: g 11/07 8; rs 36-37; g99 6/22 3-5; ct 11-17, 25, 79
nadharia ya kwamba kuna ulimwengu zaidi ya mmoja: g 12/09 7-8
nishati isiyoonekana (nyeusi): g 8/09 18
ni wazi kwamba ulimwengu uliumbwa kwa kusudi fulani: g 12/09 3-10
quasar (magimba maangavu sana yanayofanana na nyota): g03 6/8 16
umbali: g96 1/22 4, 8-9
miaka ya nuru: g96 1/22 5
unapanuka: g 8/09 16-18; g04 9/22 30; g99 6/22 3-4; ct 11-14
nadharia ya upanuzi: g00 10/8 4; ct 15-16; g96 1/22 3
utadumu milele: w06 1/1 30
utaratibu na umoja: ct 24-26
uthibitisho wa kwamba kuna Muumba: w11 2/15 6-7; g 12/09 3-8; rs 391; cl 48-51; g00 10/8 3-7, 11; w99 6/15 16-17; g99 6/22 6-9; ct 10-25, 79, 185
hali nyingi ambazo ni za lazima kwa uhai na ambazo hazingeweza kutokea bila kukusudiwa: g00 10/8 3-4; ct 13-14, 20
sheria za asili: g 12/09 5-7
sheria za asili zisizobadilika ni muhimu kwa uhai: g 12/09 5-7; g04 6/22 5, 7; g00 10/8 6-7; w98 5/1 4; w98 6/15 6; ct 16-21; g97 5/8 13; g96 1/22 12-13
utaratibu wa ulimwengu (sayari na nyota) hauharibiki: ct 24-25
Manukuu
chimbuko lahitaji weledi fulani: g96 1/22 12
kisababishi chenye kupatia uhai ni chimbuko la utaratibu mzima: g96 1/22 12
lazima ulimwengu ulijua kuhusu kuja kuwapo kwetu: g96 1/22 12
matukio mengi yasiyo ya kawaida yaliyo muhimu kwa uhai: g97 5/8 13; g96 1/22 12
ulianza ghafula katika wakati fulani hususa: rs 37
uliumbwa kwa ajili ya jamii ya kibinadamu: g96 1/22 12