Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w77 6/15 uku. 286
  • ‘Mwisho wa Ukamilifu’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Mwisho wa Ukamilifu’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Furaha Ujapokuwa Ulimwengu Wenye Kuvunja Sheria, Usio na Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Maisha Makamilifu Si Ndoto Tu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Mipaka ya Uhuru
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
w77 6/15 uku. 286

‘Mwisho wa Ukamilifu’

Mtunga zaburi alisema: “Nimeona ukamilifu wote kuwa na mwisho, bali agizo lako ni pana mno.” (Zab. 119:96) Cho chote kionekanacho kuwa kikamalifu kulingana na maoni ya mwanadamu, kina kasoro. Lakini, agizo la Yehova halina kasoro hizo bali linatoa uongozi bora kabisa wa pande zote za maisha. The Jerusalem Bible yatafsiri maneno ya mtunga zaburi ifuatavyo: “Nimeona kasoro katika ukamilifu wote lakini, lakini amri yako haina mipaka hata kidogo.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki