Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 10/1 uku. 22
  • Je! Wakumbuka?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Wakumbuka?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Habari Zinazolingana
  • Huu Ndio Wakati wa Kukimbia!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • “Mwacheni Msomaji Atumie Ufahamu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Kukimbilia Usalama Kabla ya “Dhiki Kubwa”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Chukizo Kuu Linashindwa Kuleta Amani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 10/1 uku. 22

Je! Wakumbuka?

Je! wewe umefurahia kusoma matoleo kadha yaliyopita ya Mnara wa Mlinzi? Ikiwa ndivyo, ona kama unaweza kukumbuka jambo hili:

□ Tunapatwa na ugonjwa kwa sababu tumetenda dhambi fulani?

Hapana, si lazima iwe hivyo. Ugonjwa ni mmoja wa shuhuda zenye kuonyesha kwamba sisi sote tulirithi dhambi na hali ya kutokukamilika kutoka kwa Adamu. (Warumi 5:12) Lakini, dhambi ya kukusudia inaweza kufanya mtu aitende dhambi roho takatifu ya Mungu, na hilo ni jambo baya sana kuliko ugonjwa wa kimwili. (Mathayo 12:31, 32)—9/15/83, uku. 23.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki