Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 6/15 uku. 14
  • Kujua Yaliyo Katika Habari

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujua Yaliyo Katika Habari
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Msaada kwa Ndoa
  • Mruhusu Yehova Afinyange Matendo na Kufikiri Kwako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Serikali za Wanadamu Zapondwa na Ufalme wa Mungu.
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Tujapofanywa kwa Mavumbi, Songa Mbele!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Rekodi ya Kale ya Uumbaji—Je, Unaweza Kuitumaini?
    Je, Kuna Muumba Anayekujali?
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 6/15 uku. 14

Kujua Yaliyo Katika Habari

Msaada kwa Ndoa

Inaonekana kwamba watu wanazidi kupewa mashauri kabla ya ndoa. “Inaonekana kuna mwelekeo wa kwamba ukiweza kupata msaada kabla matatizo hayajaanza, uko katika hali nzuri zaidi,” anasema Suzanne Prescod, mhariri mkuu wa barua ya taarifa inayoitwa Marriage and Divorce Today. Kwa kweli, baina ya mwaka 1968 na 1978, kati ya waume 90 pamoja na wake zao walioombwa maoni na Dakt. Claude Guldner wa Chuo Kikuu cha Guelph katika Ontario, Kanada, 30 waliopokea mashauri kabla na mara tu baada ya arusi zao ndio waliokuwa wakichukuliana vizuri zaidi.

Kwa kupendeza, mithali ya Kibiblia inahimiza hivi “Sikiliza mashauri, ukapokee mafundisho, upate kuwa na hekima siku zako za mwisho.” (Mithali l9:20) Mashauri mazuri zaidi ambayo mtu anaweza kupokea ni yale yanayotolewa katika Biblia na Yehova Mungu, Mwanzilishi wa ndoa.​—Linganisha Waefeso 5:21-33; 1 Wakorintho 7:3, 4; 2 Wakorintho 6:14, 15.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki